A4 Size Picha Mbao
Service
2 years ago
Dar, Ubungo
414
.Picha kwenye fremu ya mbao, Haivunjiki, A4 size kwa 15,000.
Kwa Dar walipia ukipokea picha yako.
Kwa mkoani picha tunaitengeneza, ikishakamilika tunakuonesha, unafanya malipo kisha tunaipeleka kwenye ofisi za basi zijazo mkoa uliopo.
Weka oda yako au Connect nasi utapokua tayari unaweka oda yako. Whatsapp ****-***-***