Charles Ligonja
Service
1 year ago
Dar, Ukonga
352
Mstaafu Forum inajihusisha na kutoa mafunzo ya Maandalizi Kustaafu kwa waajiriwa na waliojiajiri.
Inasimamia watu kwenye kujenga tabia ya kuweka Akiba na Kuwekeza maeneo sahihi.
Ina program maalum ya Save to Invest Master Class ikiwa na dhumuni la kupanua wigo kwenye eneo la usimamizi wa Fedha na Uwekezaji.
Pia tuna vitabu vya kukuongoza kwenye Maandalizi Ya Kustaafu kinachoitwa Kigoda cha Mstaafu.
Tunatoa mafunzo kwa mtu mmoja mpaka makundi.
****-***-***