Eneo Linauzwa Kigamboni Kimbiji
TZS 20,000,000
1 year ago
Dar,
Real Estate
43000 ㎡
Fixed
242
Eneo ni zuri sana tambalale umeme upo, maji yapo lina Hekari 10 kila hekari 1 Milioni 20, umbali kutoka beach (baharini) mita 400 umbali kutoka stendi Mita 600. mazungumzo yapo. Kwa mawasiliano ****-***-*** na ****-***-***