Kiwangwa Bagamoyo Pwani
TZS 35,000,000
1 year ago
Pwani, Kiwangwa
Real Estate
Sale
Farm Land
pwani bagamayo
4900 ㎡
Negotiable
264
Shamba la heka 100 zinauzwa
kwabei ya laki 3 na 50 elfu kwa Kila heka 1
Shamba hili linapatikana kiwangwa bagamoyo pwani umbali kutoka bala bala kuu ya lami kwenda Shamba km 3 bala bala ya kwenda Shamba IPO na nzuli mpaka shamba.shamba hili linafaa kwa kilimo na makazi.kalibu mteja