Kiwanja Goba-mivumoni ,sqm 500 Milion 17.5
TZS 17,500,000
1 year ago
Dar, Goba
Real Estate
500 ㎡
Fixed
263
GOBA-MIVUMONI
Dar es salaam kwa sqrm tu.
Unaweza ukalipia cash,Au kidogo kidogo bila riba wala dhamana,ndani ya miezi 3,|la Anza na nanusu ya bei kulingana na Ukubwa wa kiwanja utakachochagua.
Vipo kuanzia ukubwa wa sqm zifuatazo:
1.Mita za mraba500
2.Mita za mraba 700
3.Mita za mraba 800
4.Mita za mraba 900 na kuendelea hadi sqm 1,340 niwewe tu.
Malipo
Jamani bei ya viwanja hivi,ni sawa na buree kabisa .Kwasababu bei ya sqm kwa ukanda huu ni Hivi utapata wapi kiwanja kipo jirani na mjini Kwa bei hiyo,yaani sh kwa sqrm? tena isitoshe viwanja vyote vimepimwa? Lakini pia chakuzingatia nikwamba viwanja hivi vipo kwenye makadhi.
Huduma zote za kijamii zipo kama
1.Barabara(tena pana),
2.Maji,
3.Umeme,
4.Shule ,
5.Hosipitali na
6.Nyumba za ibada.