Layers Concentrate
TZS 30,000
2 years ago
Dar, Mbezi juu
Animals & Pets
Negotiable
514
Jipatie vyakula vya mifugo kama mbwa, kuku, ngombe, bata, kwa bei ya jumla na rejareja
Vyakula vya mifugo tulivyonavyo
Starter mash, Layers mash, Finisher, Grower , Layer Concentrate
Malighafi za kuchanganyia Chakula cha mifugo
Uduvi, Pumba za mahindi, Mashudu,Dagaa , Mifupa, Chokaa, Damu
Tunatoa huduma ya ushauri na mafunzo ya Ufugaji wa kuku kibiashara
Tunapatikana Mbezi beach Jogoo-Madukani Bagamoyo road Kinondoni Dar es Salaam Tanzania