Men Saloon Chair
TZS 620,000
1 day ago
Dar, Manzese
Business Supplies
Brown
Fixed
5
Kiti cha Saloon kinachoongeza hadhi ya huduma zako!
Ubunifu wa kisasa, rangi maridadi, na mkao wa kustarehesha kwa wateja wako
Hkikisha kila mteja anahisi kama malkia au mfalme! 👑
🪑 Kiti imara, kinachodumu na kinacholeta mvuto zaidi kwenye saloon yako.
kinapanda na kushuka pia kinalala
🛸Usikubali saluni yako iachwe nyuma!
🥊Wekeza kwenye viti vinavyoongeza thamani, kuvutia wateja, na kuongeza faida yako.
📌 Mulokozi Furniture – Magomeni Kagera
samani imara, ubunifu wa kipekee