Nauza Shamba La Eka 100 Mkata Mjini
TZS 25,000,000
2 years ago
Tanga, Mkata
Real Estate
100 ㎡
Negotiable
445
Shamba la eka 100 lipo mkata handeni tanga hilishamba lipo kilometa 5 kutoka barabara yalami hapa mkata pia nikilometa 4 kutoka pale kwenye ofisi za halimashali ya hadeni vijijini kila eka moja inauzwa laki 250000 limepakana na shamba la michungwa upande wa mangaribi yashamba