Ovulation Test Kit
TZS 2,000
3 days ago
Dar, Kinyerezi
Business Supplies
White
Negotiable
8
Tambua Siku Ya Hatari Zaidi Kushika Mimba Kwa Kutumia Vipimo Hivi(Ovulation test Strips)
Ni Rahisi Sana Kutumia Kujipima Mwenyewe.
Unapima Kama Vile Vya Kupima Mimba Kwa Kutumia Mkojo.
Siku Ukipima Ukipata Mistari Miwili Ni Positive, Saa 36 Tokea Muda Huo Utakuwa Kwenye Kipindi Hatari Zaidi Kushika Mimba Kama Utashiriki Tendo la ndoa.
Bando Moja 1 Ina Vipimo 10 Vya Kutrace Ovulation Kwa Siku 10 Inapatikana Kwa Elfu 20 Tu. Pia iko bando ya vipimo 22 vya kutrace Ovulation kwa siku 22 nayo inapatukana kwa Elfu 40 tu
Tunapatikana Tabata Dar
Tunafanya Delivery kwa 5000 kwa DSM Na Kusafirisha Mikoa Yote kwa Gharama za mteja
kwa mawasiliano zaidi piga
+****-***-***