Pedal To Ngorongoro
Event
2 years ago
Dar, Kinondoni
16/12/2022 05:00
23/12/2022 16:30
DAR
376
6 days - 800kms
Travel, Conserve ,Learn
Dec, 16th - 23th
Dar - Msata - Korogwe - Same - Moshi - Arusha -Karatu
-Pedal to Ngorongoro" ni msafara wa Baiskeli kutoka Dar es Salaam kwenda Ngorongoro. Msafara huu hauna kiingilio na watu wote wanakaribishwa kushiriki. Lengo la msafara huu, nikutangaza utalii wa ndani , kuelimisha utunzaji wa mazingira, afya pamoja nakuongeza elimu ya watu kuhusu baiskeli.
>Tarehe ya msafari :
Kwanzia Tarehe 16/12/2022
Mpaka Tarehe 23/12/2022
>Umbali: 800km
RATIBA
>Siku ya kwanza. 123km
Dar - Msata
>Siku ya Pili. 160km
Msata - korogwe
>Siku ya tatu. 154km
Korogwe - Same
Kutembelea Hifadhi ya Mkomazi.
>Siku ya nne. 117km
Same - Moshi
Kutembelea Machame, lango la Mlima wa Kilimanjaro.
>Siku ya Tano. 82km
Moshi - Arusha
Kutembelea Hifadhi ya nyoka Meserani & Makumbusho ya utamaduni wa Maasai.
>Siku ya Sita. 140km
Arusha - Karatu
>Siku ya saba.
Kutembelea Ngorongoro Kreta
>Siku ya nane.
Kutembelea makumbusho ya Olduvai Gorge nakurudi Dar es saalam.
Mwisho wa usajili 25/11/2022