Premium Earrings & Bangles
TZS 10,000
5 days ago
Dar, Kariakoo
Fashion & Beauty
New
Gold
Negotiable
8
Add some shine to your look! β¨ Jipatie hereni na bangili (bangles) kali za kisasa na zenye muonekano wa kuvutia sana. Ni nzuri kwa mitoko ya kila siku, sherehe au zawadi kwa mtu unayempenda.
π₯ ZINAZOPATIKANA:
Hereni (Earrings): Design za kijanja, hazichubui na ni nyepesi masikioni.
Bangili (Bangles): Zinang'aa vizuri na zinadumu kwa muda mrefu.
π° BEI: Hereni na Bangles: TSh 10,000 tu!
Designed Bangles:Tsh 10,000 tu!
π DELIVERY & POPOTE ULIPO:
Dar es Salaam tunakuletea ulipo na mikoa yote tunatuma kwa uaminifu mkubwa!
π JINSI YA KUPATA:
Bonyeza namba yetu ya simu hapo juu kwenye profile au tutumie ujumbe WhatsApp sasa hivi. Wahi mapema mzigo unawahi kuisha!