Sabuni Ya Anatic Essence Bf Suma
TZS 9,800
2 days ago
Dodoma, Majengo
Fashion & Beauty
Negotiable
31
ii ni sabuni iliyotengenezwa kwa kutumia viambata asilia ambavyo ni
Asali pori, Majani ya chai, Mawese
Na Mizeituni na alizeti
Sabuni hii ni kwa wale wanaoijali ngozi yao na kuzidi kuwa na ngozi inayopendeza, kwa muonekano lakini pia *kwa afya ya ngozi*.
*KAZI ZA SABUNI HII*
1.Zinaondoa makovu, chunusi na mabaka kwa haraka
2.Zinaondoa miwasho na vipele kwenye ngozi
3.Zinafungua vitundu vya ngozi, hivyo kusababisha ngozi kupata hewa safi
4. Zinasaidia ngozi inayokufa kuondoka hivyo huacha ngozi bora zaidi
5. Zinaua bakteria wabaya wote kwenye ngozi na mionzi mikali ya jua
6. Huondoa mba kichwani
HII NI NZURI KWA WATOTO NA WATU WAZIMA KWA JINSIA ZOTE
ANATIC pia ni huduma ya kwanza kwa aliyeungua, ukipaka kovu lake kwa mtu aliyeungua na maji au mafuta hawezi kutoka na lengelenge.
Jinsi ya kupata sabuni hii na maelekezo kwa matumizi zaidi wasiliana nasi kwa namba hizi
ππ²****-***-***, +****-***-***