Shamba La Nanasi Ekari 5 Linauzwa Kiwangwa
TZS 32,500,000
1 year ago
Pwani, Kiwangwa
Real Estate
5 ㎡
Negotiable
343
Shamba la nanasi lishapandwa lipo kiwangwa bagamoyo linaukubwa wa ekari 5 kila ekari moja inauzwa shilingi milioni 6.5 lipo umbali wa kilometa 3.4 kutoka main load