Shamba Linauzwa Mbwewe
TZS 40,000,000
1 year ago
Pwani, Mbwewe
Real Estate
14000 ㎡
Negotiable
264
Nauza eneo Mbwewe lenye ukubwa wa ekari 200 lipo umbali wa kilometa 5 kutoka barabara kuu linauzwa kwa kila heka moja laki 2 maongezi yapo kama unalitaji lote shamba linafaa kwa kilimo ufugaji na makazi kwa mawasiliano pga no..****-***-***