Smart Watch
2021
TZS 55,000
2 years ago
Dar, Ilala
Electronics
New
Negotiable
1133
SMARTWATCH ZA DUARA (Round)
Bei ya saa ni Tsh.55,000/=
Call/sms/whatsapp ****-***-***
Free Delivery Kwa Dar es salaam, Mikoani natuma
SIFA ZA SAA (CLASSIFICATION)
inasehemu ya kuweka laini(sim card) na memorycard.
Pia unaweza kuunganisha na simu yako kwa njia ya bluetooth ukawa unafanya vitu vya simu yako kwenye hii saa kama kupiga na kuchat, unaweza kwenye saa hii
Mpya fullbox (unaanza kutumia wewe)
Bluetooth yake ndani ya mita 15.
inapiga nakupokea kama simu za kawaida
kioo chake ni cha Round(DUARA) kama inavyoonekana kwenye picha.
HIZI SAA ZIPO AINA MBILI HII YA DUARA PIA KUNA YA BOX ZOTE HIZI NA BIDHAA NYINGINE ZIANGALIE WHATSAPP KWA NAMBA YETU
KUIPATA BIDHAA HII PIGA / TEXT au WHATSAPP NAMBA YETU INAPATIKANA MASAA 24
Instagram Mdy_smartstore
#Mdystore