Smart Watch 7
2022
TZS 95,000
2 years ago
Dar, Gerezani
Electronics
New
Negotiable
431
Price 90,000/=
⌚️.
DESCRIPTION 👇🏾
.
✅ Screen yake ni HD yani full screen 🔥💯
✅ Unaweza kuweka profile ya picha yako display 🔥
✅ Battery 220mah high capacity polymer
✅ Charging method USB charger
✅ Mikanda yake ni ya kubadilishika size ni 42/44 mm
✅ Unaweza kupiga na kupokea simu kama kawaida
✅ Unaweza kusoma meseji zako
✅ Inanotify meseji za whatsapp,facebook,instagram na Twitter
✅ Inapima heartbeats na calories ulizo burn, footsteps, blood pressure, sedentary
✅ Unaweza kuconnect music na kupiga picha
✅ Ina finding my phone, ina stopwatch, alarm, sleep monitor, calculator, calendar,
.
Unaunganisha na simu yako kwa Bluetooth ( Apps yake ni Mactive) android na apple zote zinakubali
✅