Smart Watches
2023
TZS 50,000
1 year ago
Dar, Kigamboni
Electronics
New
Black
Negotiable
321
T500+pro BIG. NEW PRICE: T500+PRO NEW PRICE 50,000/-tsh
Main screen 1.92 inch HD infinite display🔥 Inakubali simu zote Android & ( ios ) yani iPhone Inakubali kupiga na kupokea simu baada ya kuunganisha na simu yako. Ina kubali kuongea kwenye saa yako kwa kupitia Mic speaker. Ina weza kusoma notification xako zinaxoingia kwenyr sim kupitia saa yako kama sms, whatsapp n.k Unaweza ukaeka picha yako kwenye wallpaper (custom image) Ina pima Heart Rate , bloodpressure , Calories,Heart rate monitoring, Pedometer. Unaweza kubadilisha mikanda. Ni saa nzur kwa mazoezi ( Physical activities ) . Ina unganishwa kwa bluetooth na app yake. Unaweza kuplay music ulio kwenye simu kwa kutumia saa yako_ 🛍Highlights: Heart rate,sleep monitoring, call, SMS reminder,incoming reminder,alarm clock,raise screen, steps, distance,calories, music, remote capture, find my device. pia jipatie vifaa vya kielectronic mfano pasi memory card wireless earphones earpods fast chager power bank na vifaa vingine vya kielectronic kwa bei nafuu kabisaa karibuni sanaa