T-shirts Kali Sana Za Mtumba Grade One
TZS 8,000
2 years ago
Dar, Kinyerezi
Fashion & Beauty
Used Abroad
Fixed
1276
T-shirts Kali Sana Za Mtumba Grade One
Hizi Ni T-shirts Ambazo;
1. Hazichuji rangi
2. Hazipauki haraka
3. Zinadumu kwa muda mrefu
4. Huwezi ukaivaa alafu ukapita mtaani ukakuta kuna mtu mwingine ameivaa hivyo unakuwa umevaa nguo ya kipeke yako 'unique'
Bado Unawaza Utazipata Wapi Hizi T-shirts? Usiwaze Tena, Utazipata Kwetu Kwa Bei ya OFA ya 8,000 Tu Kwa Kila T-shirt
OFA Hii Itaisha Tarehe 20 Septemba
Tupigie/WhatsApp/SMS Kwa ****-***-*** Au Instagram/Facebook @dj_mitumbagradeone Uwahi OFA Hii