Tangazo La Nafasi Za Masomo October
Service
4 months ago
Arusha, Kiranyi
144
Mkuu wa Chuo cha Utalii Arusha Institute Of Hospitality and Management anatangaza nafasi za masomo kwa Intake ya October
Kozi ndefu zinazotolewa ni pamoja na:-
1. Astashahada ya Uongozaji watalii -Certificate in Tour guiding and administration.
2. Astashahada ya Uandaaji wa ziara za kitalii - Certificate in Tour Operation and Travel Agency Management.
3. Astashahada ya Uhazili na Usimamizi wa Ofisi -Certificate in Secretarial and Office Management.
4. Astashahada ya TEHAMA - Certificate in Information Communication Technology.
5. Astashahada ya Upishi na Usimamizi wa Hoteli – Certificate in Hotel Management.
Kozi za muda mfupi:-
1.Hair dressing and beauty.
2. Front Office Operation.
3. Food beverages sales and services.
4. Food production (Cookery and Bakery)
5. Housekeeping and laundry
6. Computer Application.
Kwanini Ujiunge na Chuo chetu?
1. Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu ili kila mmoja aweze kumudu.
2. Chuo kina huduma za hosteli za kisasa kwa wanafunzi wa kike na wa kiume, 3. Mazingira ya chuo ni mazuri sana,
3. Chuo kina waalimu wazuri na wenye weledi katika ufundishaji.
4. Tunatoa lugha za French,English na Spanish bure kwa wanafunzi wa kozi za Utalii.
WASILIANA NASI SASA ILI KUPATA UTARATIBU WA KUJIUNGA ****-***-*** PIA TEMBELEA WEBSITE ILI KUJISAJILI https://ichmcollege.ac.tz/