Tshirt/shirt/bukta/jeans
TZS 12,000
2 years ago
Dar, Segerea
Fashion & Beauty
Used Abroad
Fixed
555
T-shirts/Shati/Jeans/Bukta Kali Sana Za Mtumba Grade One
Hizi Ni Nguo Ambazo;
1. Hazichuji rangi
2. Hazipauki haraka
3. Zinadumu kwa muda mrefu
4. Huwezi ukaivaa alafu ukapita mtaani ukakuta kuna mtu mwingine ameivaa hivyo unakuwa umevaa nguo ya kipeke yako 'unique'
Bado Unawaza Utazipata Wapi Hizi T-shirts? Usiwaze Tena, Utazipata Kwetu Kwa Bei ya OFA ya 12,000 Tu Kwa Kila T-shirt, Shati Kwa 18,000, Bukta 15,000, Track 18,000, Jeans 20,000
OFA Hii Ni Kwa Wateja 50 tu Wa Mwanzo!
Tupo Segerea Sheli Opposite Oil Com Au Tupigie/WhatsApp/SMS Kwa ****-***-*** Au Instagram/Facebook @dj_mitumbagradeone
Wahi Bei Imelala Yoo!