Vfd Mobile
Service
2 years ago
Dar, Kariakoo
417
WEBVFD nimfumo unao kuwezesha kutoa risiti za TRA Halali na zilizothibitshwa na TRA Kwa kutumia simu janja yako tu ( smart phone)
Mfumo huu ni rahisi kwa mtumizi na unaokoa gharama ,ni nafuu kujiunga kulingana na uhitaji wa bishara yako
Utaweza kutoa risiti za TRA zenye QR CODE popote ulipo kwa simu yako tu.
Hauitaji kuwa na mashine kubwa kama incotex ni simu yako tu
chagua VFD size yako tukuunge Leo na ufurahie bishara Kidigitali