500 gb toshiba external hard disk - TZS 48,000

Details
  • Name:

    500 Gb Toshiba External Hard Disk

  • Product Year:

    2023

  • Price:

    TZS 48,000

  • Posted:

    1 year ago

  • Location:

    Dar, Kariakoo

  • Category:

    Electronics

  • Condition:

    New

  • Color:

    Black

  • Negotiable:

    Negotiable

  • Views:

    521

Description

KUPATA MAJIBU YA HARAKA NIPIGIE ****-***-***

HII NI TOSHIBA EXTERNAL HARD DISK GB 500 INA WARRANTY MWAKA INASOMA KWENYE COMPUTER NA TV ZOTE ZA FLAT UNAWEZA WEKA DATA NA MUVIES AU SERIES ZAIDI YA 500 HUNA HAJA YAKUFUTA MOVIES KAMA UNVYOFANYA KWENYE FLASH MAANA HII HAIJAI

KATIKA KARNE HII YA 23 BADO UNATESEKA NA FLASH NDOGO ZA KUWEKA MUVI NA KUFUTA ZINAZOJAA HARAKA?

KWANINI UFUTE MUVI ZAKO WAKATI UMEZINUNUA KWA GARAMA?

NJOO UCHUKUKE HII TOSHIBA EXTERNAL INA GB 500 NA UNAWEZA KUWEKA MUVI ZAIDI YA 500 NA BADO HAIJAI, INASOMA KWENYE TV FLAT ZA INAZOTE NA TUNAKUPA WARRANTY MWAKA MZIMA IKIHARIBIKA RUDISHA

MZIGO NI MCHACHE WAHI KABLA HAUJAISHA STOO KIPINDI HIKI TUNATOA OFA YA KUFUNGA ODA

USIPIGWE TENA KWENYE MANUNUZI YA BIDHAA ZA ELECTRONICS SISI HATUUZI KWA TAMAA KABISA, YAANI BEI ZETU NI KITONGA HATUNA TAMAA KAMA WENGINE

TU FOLLOW INSTA = future_vision_electronics_tz

HATUUZI BIDHAA USED TUNAUZA BIDHAA MPYA TU KWA BEI SAWA NA USED BEI YA STOO BEI KITONGA AMBAYO HUWEZI PATA POPOTE HATA UZUNGUKE TANZANIA NZIMA

TUNAPATIKANA KKOO MTAA WA AGREY NA LIKOMA KARIBU NA KANISA LA KKKT UKIFIKA KWENYE GETI LA KANISA KKKT PIGA SIMU ****-***-*** AU WASSAP ****-***-***

TZS 48,000Negotiable

Author Information
avatar

Future Vision Electronics

Joined: 1 year ago
  • More Ads

    6

Related Ads

product
New
  • 160
wireless mouse
Dar, Kigamboni   4 months ago
TZS 15,000
product
New
  • 154
imice an 300 wired gaming keyboard get free mouse pad
Dar, Ilala   4 months ago
TZS 100,000
product
New
  • 148
new bayou h100 desktop monitor arm 22" - 35" up to 9kg
Dar, Ilala   4 months ago
TZS 190,000
product
New
  • 284
usb flash drive gb 128
Dar, Kijichi   11 months ago
TZS 50,000
product
New
  • 270
pc ac adapter(chager ya pc)
Dar, Ilala   1 year ago
EUR 25,000
product
New
  • 253
professional driver
Dar, Ilala   1 year ago
TZS 11,000
product
New
  • 365
acer laptop charger
Dar, Kariakoo   1 year ago
TZS 25,000
product
New
  • 311
dell small pin charger
Dar, Kariakoo   1 year ago
TZS 35,000
product
New
  • 357
dell big pin charger
Dar, Kariakoo   1 year ago
TZS 25,000
product
New
  • 302
lenovo usb-type laptop charger
Dar, Kariakoo   1 year ago
TZS 35,000
product
New
  • 351
lenovo yellow round laptop charger
Dar, Kariakoo   1 year ago
TZS 25,000
product
New
  • 321
hp blue pin laptop charger
Dar, Kariakoo   1 year ago
TZS 35,000
product
New
  • 319
hp big pin laptop charger
Dar, Kariakoo   1 year ago
TZS 25,000
product
New
  • 327
usb 3.0 to vga converter
Dar, Kariakoo   1 year ago
TZS 25,000
product
New
  • 431
laptop stand for all laptops
Dar, Kariakoo   1 year ago
TZS 35,000