TZS 77,000
1 year ago
Dar,
Fashion & Beauty
Negotiable
250
JE UNAIFAHAMU *ALOE VERA GEL* au *KIDUMU CHA NJANO CHA FOREVER*
Hii ni Bidhaa Mama katika Bidhaa Tulizonazo .
Ni bidhaa/kirutubisho lishe asili (Sio Kienyeji) kabisaa iliyo katika Mfumo wa Kinywaaji. Ambayo kwa miaka Mingi imekuwa ikiwasaidia watu wa Makundi Yote na Umri wote Kiujumla... Wenye Changamoto na wasio na Changamoto zozote za Kiafya...
*ZIFUATAZO NI BAADHI YA FAIDA ZA KUTUMIA KINYWAJI HIKI KWA AFYA YAKO*
1. Husafisha Mfumo mzima wa Mmeng'enyo wa Chakula, Yaani huondoa Takamwili(Sumu) Mbalimbali zilizoingia mwilini Kwa Njia ya Chakula, Vinywaji, Hewa, Madawa ya Kisasa nk.
2. Husaidia Kuondoa Changamoto za Choo Kuwa Kigumu, Tumbo Kujaa Gesi, na Maumivu ya Tumbo ya Mara Kwa mara.
3. Huimarisha/Kuboresha Kinga ya Mwili kwa Ujumla hivyo sio rahisi mtu ambaye anaitumia Mara kwa Mara Kuugua ugua ovyo Ugonjwa Wowote.... Lakini pia ni Nzuri saana kwa mtu aliyeugua muda mrefu au hata kama anaendelea na Tiba.
4. Ni nzuri saana kwenye Kuboresha Muonekano mzuri wa Ngozi, Inaweza kuwa ngozi yenye changamoto au isiyo na Changamoto, Bidhaa hii huifanya Ngozi Yako Ipendeze zaidi... Yaani Ing'ae.
5. Ni Bidhaa Nzuri saana Katika Kulinda Afya ya Tumbo dhidi ya Changamoto zote za Tumbo hasa Vidonda vya Tumbo... Zipo Shuhuda za waliopona Vidonda vya Tumbo kwa Kutumia Idadi kadhaa au kwa mwendelezo Fulani Kinywaji hiki.
6. Ni Bidhaa nzuri saana Kwa mtu ambaye anataka Kudhibiti Sukari yake Mwilini, Kwa Mtu mwenye Kisukari akitumia chupa kadhaa utaona Mabadiliko makubwa kwenye Afya Yako.... Usibishie Jaribu kwanza Angalau Chupa 3-6 uone.
7. Kinywaji hiki kina madini na Vitamins Nyingi saana ambapo mchango wake Moja Kwa Moja umekuwa Dhahiri Kwenye Mifumo ya Uzazi Kwa Wanaume na Wanawake... Mifumo ya Uzazi Kwa Wanaume na Wanawake Inaratibiwa saana na Hormones yaaani Vichocheo. Bidhaa hii ni Bidhaa nzuri saana Katika Kuratibu Vichocheo vya Uzazi Kwa Wanaume na Wanawake.
8. Kinywaji hiki ni Mhimu saana na Kina msaada Mkubwa Kwa wale ambao wanasumbuliwa na Vimbe za aina Mbalimbali Sehemu yoyote ya Mwili, inaweza kuwa kwenye Mfumo wa Uzazi, Utumbo nk.
9. Ni Bidhaa Nzuri saana kwa watu wenye Changamoto ya Cancer kwani Kutokana na Madini na Vitamins zilizopo basi huimarisha zaana afya zao, Hii inakwenda sambamba na Wale wote wanaohitaji Kupandisha Kinga za Mwili au CD4.
10. Bidhaa hii sio Dawa, lakini pengine inafanya kazi vizuri saana Kuliko Dawa nyingi unazozifahamu. Hivyo basi sio Maalumu kwa ajili ya Mgonjwa Fulani hapana Mtu Yeyote inafaa Kuitumia. Haina Madhara Yoyote Kwa mtumiaji hata ukaamua Kutumia Kila siku.
KARIBU SANA UBORESHE NA KUILINDA AFYA YAKO NDUGU.
*Wewe Utahitaji Chupa Ngapi?*