Baroque Rouge Extrait Perfume
TZS 30,000
1 year ago
Dar, Kijichi
Fashion & Beauty
Fixed
362
BAROQUE ROUGE EXTRAIT
Inafanana sana na Baccarat Rouge Extrait
💰Ni Tsh 30,000/=
Mojawapo ya manukato bora sna na yanayokaa mda mrefu 🔥
Ipo Very specific ,special and elegant.
Top notes are: Bitter Almond and Saffron.
Heart notes are: Egyptian Jasmine and Cedar.
Base notes are: Amber, Woody Notes and Musk.
Size: 100 ml
Delivery Tunafanya
🛍Ndani ya daresalaam
UNAAGIZA UNALETEWA NA UNAKAGUA ALAFU UNALIPIA MZIGO
Mkoani
UNALIPIA MZIGO KISHA UNATUMIWA (Kwa uaminifu mkubwa )
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~