Bawasiri Inatibika Bila Oparation
Lifestyle
1 year ago
Dar, Sinza
371
UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE.
Bawasiri - Ni hali ya kupasuka kwa mishipa ya haja kubwa, damu kuganda na kujitokeza vinyama sehemu za haja kubwa.
AINA ZA BAWASIRI
-Bawasiri ya ndani
-Bawasiri ya nje.
BAWASIRI YA NJE- hutokea nje ya mfereji wa haja kubwa, mishipa ya damu (vena) hupasuka na damu kuganda,ikiambatana na maumivu makali (Thrombosed hemorrhoids).
BAWASIRI YA NDANI- hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa, hii haiambatani na maumivu', hapa wengi hawajijui.
Bawasiri ya ndani hupangwa kwa madaraja 4 kulingana na madhara na ukubwa wake
DARAJA LA1
Uvimbe ni mdogo unaotanda anal canal kwa ndani huweza kukua na kuingia kundi la pili.
DARAJA LA 2.
Bawasiri hizi ni kubwa zaidi na huweza kujitokeza nje ya tundu la haja kubwa wakati wa kujisaidia na kurudi mara moja baadae.
DARAJA LA 3.
Ni Bawasiri ambazo zinaning'inia nje ya tundu la haja kubwa wakati ukielekea msalani.unaweza kuisikia kama kijinyama kimoja au zaidi vinavyoning'inia nje ya tundu. Ni vijinyama ambavyo unaweza kuvisukumiza kwa vidole.
DARAJA LA 4.
Ni vijinyama ambavyo huning'inia muda wote nje ya tundu la haja kubwa na huwezi kuvisukumiza kwa vidole. Mara nyingine vinaweza kuwa kama vibonge vikubwa vya nyama.
DALILI ZA BAWASIRI.
-Kutoa vinyama sehemu za haja kubwa.
-Miwasho na maumivu sehemu za haja kubwa.
-Kinyesi kuvuja.
- Kinyesi kutoka kikichanganika na damu chenye harufu mbaya.
CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI.
1.Kukaa kitako au kusimama kwa muda mrefu.🕴
2.Kula vyakula vilivyokobolewa.(sembe, ngano nk).🍞🥞
3.Kufanya mazoezi magumuyanayokaza misuli ya haja kubwa.
4.Uzito uliopitiliza.
5.Kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
6.Tatizo la kutopata choo kwa muda.
BAWASIRI HUSABABISHWA NA:-
/-*Kufunga choo
/-*Mimba
/-*Kuzeeka
/-*Kurithi
TIBA YAKE.
=Mara nyingi watu wenye tatizo hili tiba yake ni kufanyiwa upasuaji, hata hivyo wengi hurudi baada ya kufanyiwa upasuaji.
==SASA unaweza kutibu tatizo hili kwa virutubishokutoka USA vilivyotengenezwa kwa technolojia ya hali ya juu ambavyo havina kemikali kwa asilimia100% ambavyo ni CONSTI RELAX™ pamoja na NOVEL DEPILE ™CAPSULES kutoka BFsuma
KAZI YA CONSTI RELAX™ na NOVEL DEPILE™CAPSULES.
-Huondoa miwasho namaumivu.
-Huweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kuanzia mdomoni hadi sehemu za haja kubwa.
-Huondoa Bawasiri bila upasuaji.
-Hulainisha choo.
Kwa mawasiliano ya namna ya kupata piga
****-***-***