Becheplus
TZS 20,000
2 years ago
Dar, Kariakoo
Food & Agriculture
New
Negotiable
558
★BECHE PLUS
»Ni kiua gugu kichaguzi kinachoweza kutumika baada ya mpunga na majani kuota
BechePlus :- Ina wigo mpana wa kuangamiza majani na nyasi aina zote
BechePlus :- Inatumika majani yakiwa hatua ya majani 3_4 au Mpunga ukiwa na majani 4_5 changanya kiasi kinachotakiwa na nyunyiza kulowanisha nyasi
N;B
BechePlus ina mchanganyiko wa dawa mbili na kufanya kuwa na wigo mpana wa kuangamiza majani aina nyingi
★★★★★★
KARIBUNI SANA
KARIBU KWA MAHITAJI YA PEMBEJEO ZA KILIMO NA HUDUMA ZA FARMIGATION
TUNAUZA
♣Sumu za kuua wadudu mashambani na majumbani
♣Sumu za farmigation
♣Dawa za kutibu na kuzuia ukunguu
♣ Mbolea aina zote kwa virutubisho vya mimea
♣Mbegu aina zote & vifaa vya kilimo
KWA USHAUR WA KILIMO / MADAWA / FARMIGATION
TUWASILIANE KWA NAMBA
#****-***-*** whatsapp
#****-***-*** call / sms
♦free delivery kwa dar es salaam
♦Mikoani tunatuma kwa usalama na uhakika