Spinach (fardhookgiant)
TZS 4,000
1 year ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
New
Negotiable
340
★SPINACH (FardhookGiant}
»Ni spinach ya majani makubwa aina ya OP
SIFA
»Mimea yake huvumilia maeneo yenye joto kali
»Mimea ina urefu wa 65cm
»Hukoma kwa siku 60-70 toka kupandikizwa
»Inauwezo wa kutoa majani makubwa na mazito
WASTANI KWA HEKA
1kg
45cm × 45cm
N;B
*Zinafaa kwa wakulima wote wakubwa n wadogo
*Na wale wanaopenda kulima kwa ajili ya mbogamboga za nyumban ni nzuri kwa kuanzia
ZINAPATIKANA KWA KUANZIA GRAM
»25gm... 50gm... 100gm..
KARIBUN SANA
SASA INAPATIKANA KWA JUMLA NA REJAREJA
KARIBU KWA MAHITAJI YA PEMBEJEO ZA KILIMO NA HUDUMA ZA FARMIGATION
TUNAUZA
♣Sumu za kuua wadudu mashambani na majumbani
♣Sumu za farmigation
♣Dawa za kutibu na kuzuia ukunguu
♣ Mbolea aina zote kwa virutubisho vya mimea
♣Mbegu aina zote & vifaa vya kilimo
♦free delivery kwa dar es salaam
♦Mikoani tunatuma kwa usalama na uhakika