Ben
2 years ago
TZS 90,000,000
Dar, Pugu
Real Estate
5
4
Negotiable
449
Nyumba ipo pugu kajiungeni mita chache kutoka kilipo kibao chs kutenganisha wilaya ya ilala na kisarawe.
Ina vyumba vitano vya kulala kikiwepo master moja.
Ina sebule kubwa,dinning na jiko.
Imeunganishwa na maji ya dawasa na umeme upo.
ina mzingo wa mita 30 kwa 30 na eneo la wazi la kutosha.
Inaweza kutumika kama makazi au biashara.
Biashara zinazoweza kutoka eneo hilo ni shule za awali, hospitali au lodge.
Imejengwa kwa foundation ambayo mnunuzi anaweza kuongeza ikawa ya ghorofa mbili hadi tatu.
Eneo la nyuma mimezungukwa kwa ukuta.