Kiwanja Chenye Nyumba (haijamalizika)
1 day ago
TZS 50,000,000
Dar, Mianzini
Real Estate
Uncompleted Building
Sale
3
2
4
Mbagala viwandani
295 ㎡
None
Negotiable
6
π‘ KIWANJA CHENYE NYUMBA (HAIJAMALIZIKA) KINAUZWA β MBAGALA KIWANDANI/MIAZINI
Nyumba yenye vyumba 3 (kimoja self), sebule kubwa, jiko, dining, choo & bafu vya ndani.
β
Document hati ipo
β
Umeme upo
β
Maji bomba yapo
π Ukubwa wa eneo: futi 70 Γ 45 β 292 mΒ²
π Mahali: Mbagala Kiwandani/Miazini β unashuka kituo cha Darajani, njia ya Mbagala kwenda Kongowe, umbali wa takribani 1Km tu kutoka barabara kuu.
π° Bei: TZS 50 milioni (maongezi yapo)