Cctv Camera And Electric Fence
Service
1 year ago
Dar, Sinza
379
CCTV CAMERA INSTALLATION
Je unahitaji kufungiwa Cctv camera kwenye biashara yako au nyumbani kwako karibu tutakufungia kwa gharama nafuu kabisa
Faida za Cctv camera
1)Utaweza kuona matukio yote yanayoendelea eneo husika kwa muda huo huo ukiwa popote pale duniani kupitia smartphone yako
2)Utaweza kuona matukio yote ya nyuma pindi unapohitaji kuona tukio lolote lile lililopita
3)Tutakufungia camera zenye muonekano sawa iwe mchana au usiku color ni ile ile
Tunapatikana Sinza kumekucha
Wasiliana nasi kwa namba
****-***-***
****-***-***