fundi dish,cctv camera,umeme na electric fence - Service

Details
  • Name:

    Fundi Dish,cctv Camera,umeme Na Electric Fence

  • Type:

    Service

  • Posted:

    2 years ago

  • Location:

    Dar, Kinondoni

  • Views:

    546

Description

👉ELECTRIC FENCE TUNAFUNGA KWA BEI YA 20,000 HADI 25,000 KWA MITA
🚨GHARAMA HIZI NI PAMOJA NA MATERIALS NA UFUNDI,TUNAKUFUNGIA KWA MATERIAL IMARA YASIYO PATA KUTU.

👉CCTV CAMERA TUNAFUNGA KUTEGEMEA NA MAHITAJI YA MTEJA BAADA YA KUMPA USHAURI YA CAMERA NZURI KULINGANA NA MAHITAJI YAKE.
🚨BEI ZETU NI NAFUU NAKAZI YA KIWANGO BORA SANA

👉SATELLITE DISH TUNAFUNGA KWA GHARAMA YA 20,000.
🚨BEI HII NI KUFUNGA AU KUSET DISH LINALOSUMBUA SIGNAL..
✓Tunafunga Tv ukutani.

👉ELECTRICAL INSTALLATION KWA MAHITAJI KUFANYA WIRING YA NYUMBA,CHUMBA AMA SEHEMU YA BIASHARA.
🚨Tunafunga Ceiling Fan.

👉MFUMBO WA CABLE TV KWENYE HOTELS NA LOUNGE,KWA AJILI YA KUFANYA SERVICE NA KUTATUA TATIZO LA SIGNAL NA KUFANYA INSTALLATION.

👉HUDUMA BORA NI FAHARI YETU,KARIBUNI SANA KWA USHAURI.

Service

Author Information
avatar
  • More Ads

    2

Related Ads

product
  • 330
wifi camera - bulb
Dar, Ilala   1 year ago
Service
product
  • 321
securitysolutio73
Dar, Kawe   1 year ago
Service
product
  • 379
cctv camera and electric fence
Dar, Sinza   1 year ago
Service
product
  • 347
armed &unarmed security officers
Pwani, Dunda   1 year ago
Service