Efd.kifigitali
Service
1 year ago
Dar, Mbezi
503
JE UNAHITAJI MASHINE YA KUTOLEA RISITI ZA KI ELECTRONIKI (EFD) ?
Tumia mfumo wa VFD, ni mfumo wa kidigitali ulio idhinishwa moja kwa moja na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kumuwezesha mfanyabiashara au kampuni kutoa risiti za ki electroniki (EFD) kwa kutumia simu janja au kompyuta popote pale ulipo.
HAIJAWAHI KUWA RAHISI HIVIII,
Kupata mfumo huu rahisi itakuhitaji uwe na TIN, nakala ya kitambulisho cha mpiga kura, NIDA, leseni ya udereva au pasi ya kusafiria. Toa risiti inayotambulika na TRA kwa kutumia mfumo wa VFD kwani una faida zifuatazo:
1: Utunzaji wa taarifa zako.
2: Inapatikana Tanzania nzima.
3: Kuhudumia zaidi ya tawi moja au branch.
4: Kushare risiti na wateja popote walipo kwa email au WhatsApp
5: Gharama nafuu 350,000/ tu.
OKOA USUMBUFU NA TRA TOA RISITI INAYO TAMBULIKA.
Simu yako, risiti yako kidigitalii.
TUNAPATIKANA MBEZI BEACH, TEVI COMMERCIAL PARK GHOROFA YA PILI.
SIMU NO. ****-***-*** / ****-***-***