Graphics Designing And Ai Technology
Service
3 days ago
Dar, Kipunguni
1
Sisi ni wataalamu wa kutoa huduma bora na za kisasa katika:
π¨ Graphic Design:
Ubunifu wa nembo, mabango, na kadi za biashara.
π» Software Solutions:
Matengenezo na ufumbuzi wa programu za kompyuta.
π€ AI Specialist:
Mafunzo na huduma zinazohusu Teknolojia ya Akili Mnemba (AI).
π Academy:
Mafunzo ya vitendo ya Graphics, Content Creation, na Digital Marketing.
Tunapatikana Ukonga, Dar es Salaam, na tunatoa huduma rasmi kwa uaminifu na uwazi.