faida za nmn duo release - TZS 450,000

Details
  • Name:

    Faida Za Nmn Duo Release

  • Price:

    TZS 450,000

  • Posted:

    9 months ago

  • Location:

    Arusha, Bangata

  • Category:

    Fashion & Beauty

  • Negotiable:

    Fixed

  • Views:

    544

Description

*KWA NINI NI MUHIMU KUTUMIA NMN DUO RELEASE KWA WATU WENGI UMRI MKUBWA?*

NMN DUO RELEASE -
Ni tiba lishe Ambayo imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu sana kwa kutumia technology kubwa iitwayo *CUTTING EDGE TECHNOLOGY*

Ambayo inaifanya bidhaa hii kuweza kuleta matokeo ndani ya dakika 30,kutokana na ilivyotengenezwa kwa matabaka mawili .

• NMN 100mg/kwa kila kidonge.

Hii inasaidia kuongeza uwezo wa NAD+ ili kuzalisha nguvu kwa haraka zaidi ndani ya dakika 30 mpaka kupata matokeo.

• NMN 200mg/kwa kila kidonge kimoja.
Hili ni tabaka ambalo limebeba 200mg za nmn na inachukua zaidi ya masaa 24 kwenye kuongeza NAD+ kwa Ajili ya kuboresha seli za viungo vya ndani visishambuliwe na maradhi nyemelezi na kuzeeka haraka.hivyo ina uweza wa kuimarisha afya ya Moyo,Figo,Ini,
Kongosho nk.

NMN DUO RELEASE imetengenezwa na viambata hai vifuatavyo.

•NMN
•hydroxypropyl methylcellulose
•silicon dioxide
•magnesium stearate
•sunset yellow (E110)etc

Kutokana na viambata hivi
NMN DUO RELEASE inafanya kazi zifuatazo.

1•Inasaidia kutatua changamoto za mifupa na maungio kama vile osteoporosis

2•Inasaidia kuboresha ngozi kutokana na colagen iliyopo

3•Inatibu na kuzuia changamoto ya kisukari

4•Inatatua changamoto za mabadiliko ya hormone

5•Inasaidia kutibu kipanda uso

6•Inasaidia kurekebisha DNA zilizoharibika

7•Inatibu magonjwa ya akili

8•Inaboresha na kurudisha kumbukumbu hasa kwa wazee

9•Inatibu vimbe kwa figo

10•Ni Ant aging ambayo itakufanya uwe na mwonekano mzuri kila wakati.

11•Inatibu changamoto za macho kama vile fresha ya macho na ukungu.

12•Inazuia magonjwa yatokanayo na umri .

Kipekee hii Ndio Bidhaa nyota katika Kampuni

NMN DUO RELEASE kwenye chupa 1 ina vidonge 30 na inatumia kwa muda wa mwezi 1
Wazee wanashauri kutumia mpaka chupa 3,

ipate sasa
****-***-***
****-***-***

TZS 450,000Fixed

Author Information
avatar

Bf suma

Joined: 2 years ago
  • More Ads

    7

Related Ads

product
  • 158
refined yunzhi essence
Dar,   4 months ago
TZS 120,000
product
  • 149
pure and broken ganoderma spores
Dar,   4 months ago
TZS 250,000
product
  • 164
kiboko ya u.t.i na fangasi sugu kwa mwanamke
Dar,   4 months ago
TZS 55,800
product
  • 181
x power coffee ☕
Dar,   4 months ago
TZS 85,000
product
  • 161
kojic acid skin lightning shower gel classic 500ml
Dar, Ilala   4 months ago
TZS 25,000
product
  • 175
lotion serum booster 5 tube
Dar, Ilala   4 months ago
TZS 30,000
product
  • 183
collagen serum white extra 120ml
Dar, Ilala   4 months ago
TZS 40,000
product
  • 153
curcuma comprime skin lightning with curcuma 125ml
Dar, Ilala   4 months ago
TZS 35,000
product
  • 198
tara amla hair oil 100ml
Dar, Ilala   4 months ago
TZS 15,000
product
  • 256
roushun kojic acid + vitamin c shower gel 2l
Dar, Ilala   4 months ago
TZS 40,000
product
  • 330
deodorants and perfume
Dodoma, Hazina   9 months ago
TZS 10,000
product
  • 241
hair growth oil
Dar, Gongolamboto   10 months ago
TZS 7,500
product
  • 337
min pencil perfume
Dodoma, Hazina   10 months ago
TZS 3,000
product
  • 266
shadow spf 50 + gel sunscreen
Dar, Kijichi   10 months ago
TZS 35,000