Karanga Za Mayai Tamu
TZS 400
1 year ago
Mwanza, Buhongwa
Business Supplies
Black
Negotiable
473
karibu ujipatie karanga za mayai tamu na mzuri kutoka malaika sweet karanga, bei ni Tsh400 kwa pic na kwa dazani ni Tsh 4500. tunakufikishia popote ulipo agiza sasa ufurahie bidhaa bora na radha ya kipekee