Morrocan Oil
2022
TZS 23,000
2 years ago
Dar, Kariakoo
Fashion & Beauty
New
Fixed
338
✅MORROCAN OIL
✨FAIDA ZA BODY OIL
✅Huipa Ngozi Unyevu
✅Huipa Ngozi Nuru
✅Hupoteza Muonekano wa Michirizi
✅Hufanya Ngozi kua Laini na yenye mvuto
✅Husaidia kupunguza Madoa/makovu kwenye Mwili
✅Yanapunguza weusi wa Magotini, mapajani, kwapani na shingoni
✅Huondoa Sugu za vidoleni