Qfl Magodoro Dodoma
2025
TZS 284,000
20 hours ago
Dar, Ubungo
Home Appliances
New
White
Fixed
2
(QFL) magodoro dodoma
Sifa zake kuu
➡️Ni imara inayodumu kwa Muda mrefu
➡️ Ina Density 24
➡️Inavutia sanaaa machoni
➡️ Warranty miaka 3
Bei zake
5/6/8=284,000
5/6/10=340,000
6/6/8=340,000
,6/6/10=420,000
✅Zinapatikana kwa size zote
✅Tunafanya delivered (sio free)
✅tunauza jumla na reja reja