Shadow Spf 50 + Gel Sunscreen
TZS 35,000
10 months ago
Dar, Kijichi
Fashion & Beauty
Negotiable
265
Kama una ngozi ya Mafuta Hii ni Sunscreen nzuri sana kwako
●Ni kama Mosturizer ngozi yako vizuri
●kwa wale wenye chunusi zizisoisha na wenye chunusi nyingi hii Sunscreen inakufaa sana (best for oily and acne prone skin)
●SPF 50 inakulinda vizuri ngozi yako
● MWANAUME/MWANAMKE/WATOTO wanatumia
●UVA/UVB protection inakulinda na hatari ya kupata ugonjwa wa saratani ya ngozi
●ina ingredient ambazo hazizibi wala kufunga matundu ya Ngozi yako (non comedogenic )
●haina mafuta ni nzuri sana kwa watu wenye ngozi ya mafuta
●Haina Kemikali zenye sumu
●nzuri kusafiri na hii bidhaa ni muhimu kuwa nayo
Size: 75 g
●Tunauza Jumla na Rejareja
Karibu Uagize Paltito Store😃🙏
●DELIVERY -PAY ON DELIVERY
●CONTACTS
WhatsApp/Norma calls/Normal messeages ****-***-***
●AGIZA > POKEA> LIPIA