Simple (refreshing Facial Wash)
TZS 20,000
1 year ago
Dar, Kijichi
Fashion & Beauty
Fixed
345
SIMPLE (Refreshing Facial Wash )
Vitamin B5+E
Pro Amino Acids
Ml 150
100% SOAP FREE
Tsh 20000/=
Inakusaidia kuipa ngozi ya uso wako kuwa nzuri na yenye afya na kukuepusha na chunusi na ngozi mbaya isiyokuwa na mvuto
Bidhaa hii Haina rangi wala manukato.
Inawafaa sana watu wenye Sensitive Ski
Haina kemikali kali zinazoweza kuvuruga ngozi
Haina sabuni.
Haina virutubisho vya pombe.
Haijawekwa mafuta ya madini.
Na kama ww ni VEGAN basi ,hili ni chaguo sahihi la Facial wash kwakoLocation Daresalaaam Tanzania
Karibu sana
~
Address:Dareslaaam Kijichi ,Mgeninani street
****-***-*** WhatsApp text ,normal text and normal calls only (WhatsApp link ... Bio)
~
Delivery:Tunafanya delivery ndani ya Daresalaam hadi nje ya mkoa wa daresalam