Sonya Daily Kit
TZS 284,000
1 year ago
Dar,
Fashion & Beauty
Negotiable
297
Sonya kit ni product ya ngozi yenye bidha nne ndani yake
cleanser, mask, illuminating na moisturizer
zinaka miezi sita na zaidi unaweza itumia kifamilia
kazi yake kubwa nikubalance mafuta katika gozi. ivyo huepusha chunusi na ngozi kualibuka
hufanya kua na ngozi yenye mvuto na yenye langimoja, ngozi inakua yenye mng'ao mzuri na unao itajika