Apartments Yenye Vyumba Vitatu Inapangishwa Ipo Tegeta Dar Es Salaam Tanzania
1 year ago
TZS 700,000
Dar, Kinondoni
Real Estate
3
1
Negotiable
273
APARTMENT 3 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA TEGETA DK7 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Garden safi
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
------
Service charge 20,000/=
Kodi ni Tsh 700,000/=×6
-------
Call /Whatsapp
#****-***-***