Apartments Yenye Vyumba Viwili Inapangishwa Laki 3.5 Kwa Mwezi Ipo Kunduchi
1 year ago
TZS 350,000
Dar, Kinondoni
Real Estate
2
1
Fixed
251
APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KUNDUCHI MTONGANI
______________
APART NZURI YA KISASA
____________
YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba viwili vikubwa vya kulala kimoja ni #Master #Sebule kubwa#Jiko lenye #Makabati
#Choo/Bafu vya public#Vyandani
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#FencedApart
_______________
KODI TSHS LAKI 350,000/=KWA MWEZI
_________________
MALIPO YA MIEZI 6
____________
Visit site 20k
___________________
KWA MAWASILIANO PIGA:-