Ghorofa Lenye Vyumba Vinne Linalojitegemea Linapangishwa Lipo Mbezi Beach 🏖️
1 year ago
TZS 1,300,000
Dar, Kinondoni
Real Estate
4
2
Fixed
261
#VYUMBA_VINNE _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA#
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH AFRICANA
———————————————————
KODI TSHS ML 1,300,000/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 6
————-
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba vinne vya kulala, #Master #Sebule kubwa # Dinning Jiko, #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks
FencedHouse
Garden