Ipo Kimara Korogwe Dar Es Salaam Tanzania
1 year ago
TZS 300,000
Dar, Kimara
Real Estate
2
1
Negotiable
487
MPYA =======MPYA ========MPYA KABISA
NI STUDIO MPYA KABISA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1.5
USAFIRI UPO BODA ELFU MOJA BAJAJ DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.5
KUNA APARTMENTS ZA AINA MBILI TOFAUTI
SIFA ZAKE,,,👇
[ A ]VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA PIA MAJI YANAFLOW NDANI
KODI NI TZS 400K X6
GROUP [ B ]
CHUMBA KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA MNO YAKUJIACHIA JIKO KUBWA LA KISASA OPEN KITCHEN NA PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA PIA MAJI YANAFLOW NDANI
KODI NI TZS 300K X6
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL GARDEN FULL PARVING BLOCKS 🚫
ELECTRIC FENCE ,CCTV CAMERA 📷
KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI TZS.15000 NA UKIIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
CONT,,,👇