Ipo Kimara Mwisho
1 year ago
TZS 180,000
Dar, Kimara
Real Estate
1
1
Fixed
248
NEW APARTMENT FOR RENT##180K
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
MAHALI ILIPO = KIMARA MWISHO
UMBALI WA KM 2.5 KUTOKA
MOROGORO ROAD
DAR ES SALAAM
TANZANIA 🇹🇿
•••••••••••••••••••••••••••
USAFIRI BAJAJI 700
DALADALA 500
NI NYUMBA YA =
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
KIBARAZA SAFI
MAJI DAWASA YAPO
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
TAILS GYPSUM SLIDE WINDOW
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
KODI NI LAKI 180,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA
NA MALIPO YA DALALI
MWEZI MMOJA PINDI
ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI
ELFU 15,000 /=
••••••••••••••••••••••••••••••••
CONT,,,👇