Ipo Mbezi Beach Upande Wa Chini Dar Es Salam Tanzania
1 year ago
USD 1,000
Dar, Mbezi
Real Estate
3
1
Negotiable
273
NYUMBA YA PEKEE YAKE
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH
______________
KODI USD 1000$ KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
________________
IKO PEKEE YAKE NDANI YA FENSI
_____________
YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala #MASTA #Sebule kubwa #dinning #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks #Garden
#FencedHouse
____________