Kimara Korogwe
1 year ago
TZS 400,000
Dar, Kimara
Real Estate
4
2
Fixed
277
STAND ALONE NZURI SANA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1.8
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.3
KODI NI TZS 400K X6
SIFA ZAKE,,👇
VYUMBA VINNE VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA DINING KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA PUBLIC TOILET NA BAFU LAKE ZURI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL GARDEN
UMEME UPO NA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NB,,,
NYUMBA HII NI KUBWA SANA INAFAA KWA MTU MWENYE FAMILIA KUBWA
NYUMBA INA ENEO KUBWA SANA NA MAZINGIRA YANAFAA HATA KUJIWEKEA BUSTANI ZA MBOGA MBOGA NA UFUGAJI MDOGO MDOGO
PIA NYUMBA HII INAFANYIWA UKARABATI WA NGUVU KUANZIA MILANGO PAMOJA NA KURUDIWA RANGI NJE NA NDANI
WAHI MAPEMA UJE UISH KISTAA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
CONT,,,👇