Nyumba Inapangishwa Goba
10 months ago
TZS 600,000
Month
Dar, Goba
Real Estate
New Building
Rent
2
2
5+
GOBA_OSTERBAY
670 ㎡
None
Fixed
153
GOBA_OYSTERBAY
Nyumba yenye
1. Vyumba viwili
2. Sebule
3. Jiko
Ndani ya fance
Parking ipo
Inapangishwa kodi 600,000/= Tzs kwa mwezi
Nyumba ipo Umbali wa 1dk kwa kutembea toka main road.
Gharama za kuoneshwa nyumba ni 20,000/= Tzs
Agency fee ni sawa na hela ya kodi ya mwezi mmoja
Kwa nyumba kali sana tembelea ofs zetu zilizopo Mwenge Dar es salaam.
NB: ZINGATIA VIGEZO NA MASHARTI.
IKIWA HAIVIPO UPANDE WAKO TAFADHALI USITUHANGAISHE.
Karbu sana
#2024HudumaMpakaNyumbaniKwako