Nyumba Inapangishwa Goba
10 months ago
TZS 250,000
Month
Dar, Goba
Real Estate
New Building
Rent
1
1
4
GOBA
1223 ㎡
None
Fixed
224
GOBA CENTER
Nyumba inapangishwa GOBA DAR ES SALAAM
Ina chumba chenye choo ndani
Sebule
Jiko
Ipo ndani ya gate
Umbali wa nauli ya 1000 kwa boda boda
Dk 10 kwa kutembea
Kodi 250,000/= Tzs kwa mwezi
Kodi kuanzia miezi mitatu
Kwa nyumba kali na nzuri za kupanga wasiliana nasi SWAHILI_REAL_ESTATE
Ama tembelea ofs zetu zilizopo Mwenge Lufungira nyuma ya jengo la Tanzanite tower
NB: VIGEZO NA UTARATIBU KUZINGATIWA
Service charge 20,000/= Tzs
Agency fee ni sawa na hela ya mwezi mmoja ya kodi ya nyumba husika
Follow
@swahili_used_items
#2024HudumaMpakaNyumbaniKwako