Nyumba Inauzwa Ulongoni B Gongolamboto
2 years ago
TZS 20,000,000
Dar, Gongolamboto
Real Estate
4
1
Negotiable
488
Nyumba Ina vyumba vinne vya kulala na vyumba vyote vina wapangaji IPO mtaa wa ULONGONI B kata ya Gongolamboto IPO mjini kbisa ktk eneo maarufu Kwa Osama.
Floor yake ni tiles,ceiling ni gypsum na Ina umeme.